Home » » WADAU WA HABARI KUTOKA CHINA NA TANZANIA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA NJIA MPYA ZA MAWASILIANO MTANDAONI

WADAU WA HABARI KUTOKA CHINA NA TANZANIA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA NJIA MPYA ZA MAWASILIANO MTANDAONI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


1
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiongea katika mkutano Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni kati ya wadau wa Habari kati ya Tanzania na China Leo Jijini Dar es Salaam.

2
Balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala Mawasiliano
3
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mkutano huo.
4
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiteta akiwaeleza jambo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano(Mawasiliano) Mhandisi Angelina Madete (katikati) na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.
5
Makamu wa Waziri Mwenye Dhamana ya masuala ya mitandao kitaifa kutoka China Ren Xianliang akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala Mawasiliano
6
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo alisema kwa sasa serikali ipo katika hatua za kutengeneza mpango wa taifa wa Usalama wa mtandao.
8
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa