Imeandikwa na John Nditi, Morogoro
Alisema baada ya mtuhumiwa kumchoma mkewe na kitu chenye ncha kali kifuani, alifariki dunia papo hapo baada ya kuvuja damu nyingi. Hata hivyo, alisema chanzo halisi kilichosababisha mume huyo kuchukua uamuzi wa kumchoma mkewe na kitu chenye ncha kali kifuani, hakijafahamika na uchunguzi zaidi unaendelea na hatua za kumfikisha mtuhumiwa mahakamani zitafuatwa.
Aidha, Haji Athuman (28) ambaye ni mfanyabiashara na mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe anashikiliwa na Polisi akiwa na simu aina mbalimbali zipatazo 748. Simu hizo ni Tecno, Itel na Ditel pamoja na betri za simu 650 na chaja za simu 830.
CHANZO HABARI LEO.
0 comments:
Post a Comment