Waziri
wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa akiweka
shada la maua katika eneo maalum katika makaburi ya wapigania Uhuru wa
Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa
mkoani Morogoro.
Home »
» WAZIRI WA UTAMADUNI NA SANAA WA AFRIKA YA KUSINI ATEMBELEA KITUO CHA MAENDELEO DAKAWA NA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA CHAMA CHA ANC MKOANI MOROGORO.
WAZIRI WA UTAMADUNI NA SANAA WA AFRIKA YA KUSINI ATEMBELEA KITUO CHA MAENDELEO DAKAWA NA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA CHAMA CHA ANC MKOANI MOROGORO.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment