Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi vifaa vya Michezo
wa Timu ya kata ya Kauzeni kwajili ya Kuendeleza Michezo ndani ya kata
hiyo
Wachezaji wa Timu ya Mzinga ya Morogoro wakimsikiliza Kwa makini Mbunge wa Morogoro Mjini alipowatembelea Leo.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidhi vifaa vya Michezo
kwa Timu ya Mzinga ya Morogoro akiwa kama Mdau Mkubwa wa Michezo hasa
Mpira wa Miguu
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na wandesha bodaboda
kutoka kata ya mzinga namna wanavyokabiliwa na changamoto
zinazowakabilikatika biashara yao.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM
wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge
Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya
Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment