Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya
ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wajumbe wa idara ya utumishi wa
walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara iliyofanyika jana mkoani
Morogoro.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Katikati), akiwasili
kwenye ukumbi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo, kwa
wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania
bara, iliyofanyika mkoani Morogoro jana. Semina hiyo ni muendelezo wa
Mfuko, kutoa elimu kwa wanachama wake kutoka makundi mbalimbali.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akisalimiana
na Hafsa Mrisho, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Tume ya
Utumishi wa Umma, wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mfuko
huo kwa baadhi ya askari polisi na wajumbe wa idara ya utumishi wa
walimu kutoka mikoa ya Tanzania bara wanaohudhuria semina iliyoandaliwa
na Mfuko huo mkoani Morogoro jana. Katikati ni Kamanda wa polisi Mkoa wa
Morogoro, Leonard Paul.
Msanii
Mrisho Mpoto, ambaye pia ni balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
akiimba sambamba na baadhi ya walimu na maafisa wa Mfuko huo, wakati wa
chakula cha usiku kilichoandaliwa na PSPF, kwa wajumbe wa idara ya
utumishi wa walimu wanaohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na
Mfuko huo mkoani Morogoro.
Msanii Mrisho Mpoto, ambaye pia ni balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akiimba.
Msanii
Mrisho Mpoto, ambaye pia ni balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
akiimba sambamba na baadhi ya walimu na maafisa wa Mfuko huo, wakati wa
chakula cha usiku kilichoandaliwa na PSPF, kwa wajumbe wa idara ya
utumishi wa walimu wanaohudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na
Mfuko huo mkoani Morogoro.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana na baadhi
ya wachezaji wa timu ya Polisi Morogoro, wakati wa chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa wachezaji hao na wajumbe wa idara ya
utumishi wa walimu, wanaohudhuria semina ya siku moja iliyuoandaliwa na
Mfuko huo Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema Muro, akiwasalimia
wajumbe wa semina wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na PSPF
Mwanachama.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya
ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wajumbe wa idara ya utumishi wa
walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara iliyofanyika mkoani Morogoro.
Picha na Mpiga Picha Wetu
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment