Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni sefue amewaonya watumishi wa umma kutojihusisha na mambo ya siasa na kwamba wale watakaojiingiza watachukuliwa hatua zakinidhamu.Ameyasema hayo alipozungumza na watumishi mbalimbali wa umma mkoani Kilimanjaro. Amesema wakati taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa madiwani,wabunge na rais mwakani ni mwiko kwa watumishi kujiingiza katika siasa kwani kwa kufanya hivyo ni kuchanganya majukumu na mojawapo halifanyiki kikamilifu.Amezungumzia maslahi ya watumishi wa summa amesema serikali imepata maombi ya watumishi hao wengine kwani lengo si kuwakomoa.Aidha amesrma na kuthibitisha kutolea mfano kwamba kuahidi kupunguza viwango vya makato ya mshahara ya watumishi hao.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment