Home » » MASISTA NCHINI WAAMUA KUKABILIANA NA MATATIZO KWA KARAMA ZAO

MASISTA NCHINI WAAMUA KUKABILIANA NA MATATIZO KWA KARAMA ZAO

 Chama kinachounganisha watawa wa kike nchini(masista)nchini wameamua kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na matatizo ya karama zao.Hayo yamesemwa na katibu mkuu wa masista Sr Enelesi Chimbali wa shirika la watumishi wa mama maria katika mkutano wao ulioongozwa na kaulimbiu inayosema Nenda usiogope kutumikia.

Pia amesema chama cha wanawake walioweka wakfu maisha yao wana wasiwasi na hali ya kisiasa ilivyo katika baadhi ya maeneo katika mikoa yao.

Pia wamepania kuanza na wao wenyewe kama mtu binafsi katika kuongoza njia ya maisha yaliyosimikwa katika maadili na tunu za injili na kanuni za kugeshimiana na kimheshimu kila mtu na kwa pamoja wameweza kujadiliana na kushirikisha uzoefu na njia zinazoweza kuboresha ufanisi katika utendaji wa majukumu yao kama masista .

  Hata hvy masista wamehaidi kukumbatia na kukuza tunu za injili na mshikamano.

Pia masuala muhimu ya kiuchungaji yanayoonekana kuwa ya kidharau zaidi hasa katika utetezi na udumishaji wa haki ya kijamii na maendeleo kuhamasisha kila chama kutoa mafunzo kwa masista katika mwelekeo wa kiroho na sheria za kanisa
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa