Home » » BREAKING NEWS: WATU NANE WAHOFIWA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA GAIRO MCHANA HUU.

BREAKING NEWS: WATU NANE WAHOFIWA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA GAIRO MCHANA HUU.



Ajali nyingine mbaya:Basi la Abiria linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam - Tabora limepata ajali mbaya sana mchana huu katika eneo la  Kiegeya,Gairo na kupelekea zaidi ya watu 8 kudaiwa kupoteza maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo hivi sasa,huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.ni siku tatu tu zimepita toka ajali nyingine mbaya itokee huko Musoma na kupoteza maisha ya zaidi ya Watanzania 35.taarifa kamili inakuja
Chanzo Michuzi Media

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa