Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana
wakati akiwasili katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa
Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha
Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake
wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala
kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha
Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo,
wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti matunda aina ya Shokishoki, kwa kumbukumbu baada
ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa
kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika
chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Professa wa Chuo cha
Sokoine, Ally Aboud, kuhusu ufugaji wa njia raihisi na gharama nafuu wa Samaki
baada ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya
Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam
Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR.
Picha ya pamoja.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment