Home »
» FUSO LAUA MWENDESHA BAISKELI IFAKARA, MOROGORO
FUSO LAUA MWENDESHA BAISKELI IFAKARA, MOROGORO
Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.
Baiskeli ya marehemu ikipakiwa kwenye gari.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWENDESHA baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani Morogoro jana.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo. GPL
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment