Home » » TUKIO KATIKA PICHA: KIJANA AUMIA VIBAYA BAADA YA KUGONGWA NA PIKIPIKI

TUKIO KATIKA PICHA: KIJANA AUMIA VIBAYA BAADA YA KUGONGWA NA PIKIPIKI

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

 Kijana aliyetambuliwa kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki 
 Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada. 
Habari zilizopatikana eneo la tukio zinadai  baada ya dereva huyo wa pikipiki kumgonga  alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza pembeni asiendele kugongwa na magari mengine
 Ally akiangua kilio baada ya kupatwa na maumivu makali
 Akiingizwa kwenye gari kuelekea hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro


"  alikuwa akivuka barabra kureje nyumbani kwake Chamwino kwa bahati mbaya kuna boda boda litoka upande  wa Msamvu na kumgonga hata hivyo boda boda hiyo baada ya kumgonga alikimbia  Picha na Dustan Shekidele,Morogoro
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa