Kajumba kakiwa Mlimani
Mandhari nzuri na ya kuvutia
Dogo akiwa maeneo ya Kabundi
Bado Milima Mizuri
Wengine wanasema Huu ni Mto Ruaha umepita huku
Daraja la kupita watu
Mpaka Mgeta wamepigiwa X
Hapa maeneo ya Mgeta Mjini
Mawe mazuri ndani ya Mgeta
Mmoja wa wakilishi kutoka Tone Multimedia Group Kupitia Blogs za Mikoa na kuwakilisha Morogoro yetu kutoka Dar es salaam akiwa anafanya utalii wa Ndani Mgeta
Mboga mboga zinakuwa vizuri sana
Kijiji kikiwa na madhari nzuri ingawa kuna baridi ya kutosha
Mgeta mawasiliano yapo ya mitandao yote safi kabisa hapa ni kijiji cha Chipenyuko
Ndizi pia za kutosha huku
Miwa nayo Imeshamili sana
Picha zote na Morogoro yetu
0 comments:
Post a Comment