Home »
» MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI.
Mgeni Rasmi katika Warsha ya Mashirikiano
kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Mkoa wa
Mororgoro Joel Bendera (wa tatu toka kulia) akiwa na viongozi
wengine,toka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP,
Leonard Paul, Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo, Mkurugenzi Mkuu
TANAPA, Allan Kijazi. Wengine baada ya RC Bendera ni Kaimu Mkurugenzi
Idara ya Wanyamapori, Paul Sarakikya na mwisho ni Mkuu wa Wilaya ya
Morogoro, Said Amanzi. |
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera
akifungua warsha ya Mashirikiano baina ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama
kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa . |
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,
(TANAPA) Allan Kijazi akitoa salamu zake wakati wa ufunguzi wa Warsha
ya Mashirikiano kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa mikoa
inayopakana na Hifadhi za Taifa. Mkutano unaofanyika katika Hoteli ya
Nashera mkoani Morogoro.
|
Mmoja wa washiriki katika Warsha ya
Mashirikiano baina ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama na TANAPA,
Mrakibu wa Polisi, Mary Lugola akitoa neno la shukrani kwa Mkuu wa
Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera mara baada ya kufungua warsha ya
viongozi hao . |
Baadhi ya washiriki katika warsha hiyo
wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera
alipokuwa akifungua warsha hiyo. |
Baadhi ya waandishi wa habari toka vyombo
mbalimbali vya habari nchini wakichukua matukio muhimu wakati wa
ufunguzi wa warsha hiyo. |
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Milima
ya Udzungwa, Vitalis Uruka akitoa mada juu ya Changamaoto za Uhifadhi
katika Kanda ya Kusini na hali halisi. |
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Tarangire Stephen Qoli
akitoa mada juu ya Changamaoto za Uhifadhi katika Kanda ya Kaskazini na
hali halisi. |
Meneja Mawasiliano, TANAPA Pascal Shelutete
akitoa mada ya Utaratibu wa kutoa Taarifa kwa Umma juu ya masuala ya
Ulinzi na Usalama wa Maliasili na Watalii. |
Mshiriki wa warsha hiyo, Franco Kibona
akichangia mada katika warsha hiyo. |
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elias Tarimo
akichangia mada wakati wa warsha hiyo. |
Mshiriki Abdulla Suleiman akichangia mada
katika warsha hiyo. |
Mshiriki Faustine Masalu akichangia mada
katika warsha hiyo. |
Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Allan Kijazi
akichagia mada katika warsha hiyo. |
Washiriki wa warsha hiyo wakiwa katika picha
ya pamoja. |
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera
akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi pamoja na
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP, Leonard Paul mara baada ya
ufunguzi wa warsha hiyo.
Picha na Father Kidevu Blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment