Wamiliki wa daladala Manispaa ya
Morogoro wamesikitisha kutoa huduma ya usafirishaji abiria ndani na
Manispaa kwa kile kinachodaiwa kutozwa faini kubwa na askari wa uslama
barabarani pindi magari hayo yanapokamatwa kwa makosa mbalimbali ambapo
kwa wiki hudai hukamatwa mara mbili mpaka tatu huku kiwango cha faini
hiyo kikitajwa kuwa ni kati ya sh30,000 hadi sh120,000 ikiwa kosa moja
ni sh30,000.PICHA/MTANDA BLOG
Home »
» WAMILIKI WA DALADALA WAFANYA MGOMO MOROGORO.
WAMILIKI WA DALADALA WAFANYA MGOMO MOROGORO.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment