Home » » PICHA MBALI MBALI ZA MGOMO WA DALADALA MOROGORO MAPEMA LEO

PICHA MBALI MBALI ZA MGOMO WA DALADALA MOROGORO MAPEMA LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 














Hali si shwari mjini Morogoro leo hii ambapo madereva daladala wamegoma kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga faini kubwa wanazotozwa na mamlaka za usalama barabarani mkoani humo.Mwakilishi wetu mkoani Morogoro ataendelea kutuweka karibu na tukio hili kwa kadiri litakavyokuwa likiendelea. Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa updates za mara kwa mara.

Pichani ni baadhi ya wakazi wa Morogoro ambao leo asubuhi walilazimika kutumia usafiri wa vyombo visivyo rasmi kusafirisha abiria, ili kuwahi makazini


SOURCE:JUKWAA HURU  MEDIA PAGE

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa