Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
SHIRIKA la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la Kivulini,
limewataka Watanzania kushirikiana kupiga vita ukatili wa kijinsia
dhidi ya wanawake.
Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Shirika hilo lenye
makao makuu yake jijini Mwanza, Ramadhani Masele, alipozungumza kwenye
mdahalo uliolenga kuibua sababu za wanawake kutokujichagua wenyewe
katika nyanja za uongozi.
Alisema wanawake wengi wamekuwa waoga kupigania haki zao, jambo linalosababisha jamii iendelee kuwaona hawajiwezi.
Chanzo;tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment