Ajali mbaya imetokea Mikumi muda mchache uliopita baada ya Basi la Taqwa kujaribu ku overtake Lory ambalo lilikuwa limebeba Mbao, katika ajali hiyo inadhaniwa wamefariki watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja, Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Mikumi na Basi la Princess Muro. Habari zaidi kutoka kwa shuhuda zinasema kwamba aliyesababisha ajali hiyo si dereva na kwamba aliyekuwa anaendesha gari hilo ni msimamizi wa madereva hao.
CHANZO JAMII FORUM
0 comments:
Post a Comment