Ni Maisha Plus na Mama shujaa wa Chakula 2013
Burudani Mbalimbali zikiendelea
Baadhi ya wageni na wakazi wa eneo la kingolwira Mkoani Morogoro wakiwa wamekuja kuhudhuria katika Sherehe hizo za uzinduzi
Masoud au Maarufu kwa Jina la Masoud Kipanya ambaye ndiye Muongozaji wa Maisha Plus akiwa anatoa neno fupi , wakati wa kujiandaa na kuanza Sherehe ya Uzinduzi Rasmi wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula
Endelea kufuatilia
Picha zote na Morogoro yetu Blog
0 comments:
Post a Comment