Home »
» DOGO WA CHINI YA MIAKA 15 AKIKATIZA NA BODA BODA MOROGORO
DOGO WA CHINI YA MIAKA 15 AKIKATIZA NA BODA BODA MOROGORO
Kijana mwenye umri chini ya miaka 15
akihangaika kuwasha pikipiki ili kuendesha katika barabara itakayo
Masika na kupita Msikiti wa Kingo Juwata Manispaa ya Morogoro jambo
ambalo ni hatari sana kwa kijana mdogo kutumia chombo cha moto bila
ujuzi wa kutoka, MTANDA BLOG ulimshuhudia mtoto huyo akiendesha pikipiki
hiyo pasipo kuwa na ujuzi wa kutoka jambo ambalo endapo barabara hiyo
ingekuwa na mageri mengi ingeweza kusababisha ajali kutokana na kitendo
hicho.
Hapa baada ya kufanikiwa kuiwasha akielekea eneo la Juwata.
Kwa hisani ya Mtanda Blog
0 comments:
Post a Comment