BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAPINDUKA MORO
Basi la Kampuni ya Hood Limited lenye namba za usajili T 159 AXM lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha limepinduka eneo la Melela- Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa na kuua mtu mmoja Basi hilo lilikuwa likijaribu kulikwepa gari lingine na kuingia mtaroni.
Chanzo;Djseck blog

0 comments:
Post a Comment