Home » » BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI MIKUMI NA WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO‏

BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI MIKUMI NA WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO‏


 
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Super Feo kugongana na Land Rover, eneo la Mikumi, mkoani Morogoro jana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea ajali hiyo.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa