Home » » WATEJA WA TIGO MJINI MOROGORO WAJISHINDIA TIKETI ZA KWENDA KUSHUHUDIA TAMASHA LA TIGO FIESTA.

WATEJA WA TIGO MJINI MOROGORO WAJISHINDIA TIKETI ZA KWENDA KUSHUHUDIA TAMASHA LA TIGO FIESTA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wasanii Roma(kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje(katikati)zawadi ya tiketi ya kwenda kishuhudia Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika leo mjini Morogoro.
Mteja wa Tigo mjini Morogoro, Idrissa Bakari (katikati) aliyejishindia tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Jamhuri leo, akipokea tiketi yake toka kwa Wasanii, toka kushoto Barnaba,Mimi Mars, Maua Sama na Country Boy.
Msanii Barnaba akipiga picha 'selfie' na mfanyakazi wa duka la Tigo lililopo mtaa wa Stand Morogoro leo.

Msanii Mimi Mars akiteta jambo na mfanyakazi wa duka la Tigo mtaa wa Stand Morogoro mara baada ya Wasanii kutembelea duka hilo.

 Mteja wa Tigo mkoani Morogoro, Violent Mongi (wa pili kushoto) akikabidhiwa zawadi na Wasanii Vee Money, Genevieve na GNako mara  baada ya mteja kupata huduma ndani ya duka hilo.

Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Dorcas James akitoa huduma kwa wateja.

Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Theodore John akitoa huduma kwa wateja waliofurika kwenye duka hilo leo kupata huduma mbalimbali za bidhaa zitolewazo ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta kwa bei nafuu.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa