Home » » MKUU WA MKOA WA MOROGORO APATA AJALI KWA KUGONGA NYATI

MKUU WA MKOA WA MOROGORO APATA AJALI KWA KUGONGA NYATI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Imeandikwa na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe.
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe amepata ajali katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi baada ya gari lake kugonga nyati na kuharibika vibaya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urlich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa taarifa kamili ataitoa mara baada ya uchunguzi kukamilika. Ndani ya gari hilo mbali na kuwepo mkuu wa mkoa pia aliambatana na mlinzi wake ambao wote kwa pamoja walitoka salama.
CHANZO HABARI LEO

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa