Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Meneja Kiongozi Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Morogoro, Eunice Chiume (wa pili kulia) akiwa na Kaimu Meneja wa Masoko na Uhusiano wa Shirika hilo, Salim Kimaro (wa kwanza kulia) wakitoa ufafanuzi kwa mwanachama kuhusu uwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Cha mkulazi na Mbigiri kilichopo mkoani humo, maonyesho ya Nane Nane Morogoro.
Afisa wa NSSF, Amina Kasim akizungumza na wegeni kuhusu huduma ya uchangiaji wa Hiari wa NSSF katika maonyesho ya Nanenane Mkoani Morogoro.

Meneja Kiongozi Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Morogoro, Eunice Chiume akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mradi mpya wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi na Mbigiri wakati wa Maonyesho ya Kilimo, Nane nane yanayoendelea Katika viwanja vya Nanenane mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment