Home » » PICHA: HAPA NA PALE KUTOKA MIKUMI KUELEKEA IFAKARA

PICHA: HAPA NA PALE KUTOKA MIKUMI KUELEKEA IFAKARA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Hiki ni kipande cha Daraja la Kidatu  hapa watu kibao wanapenda kupiga picha

 Kipande hiki kuna wavuvi kibao... Maisha yanaendelea

 Kijiji fulani hapa karibia na njia ya kuelekea Udzungwa

 Huu ulikuwa  ni mto wa 45 ukitokea Mikumi kuelekea Ifakara

 Wananchi wameendelea ving'amuzi kibao


Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa 

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa