Home » » PROSPER MBENA APOKELEWA NA MAMIA YA WANANCHI JIMBO LA MOROGORO KUSINI

PROSPER MBENA APOKELEWA NA MAMIA YA WANANCHI JIMBO LA MOROGORO KUSINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka  Kata mbalimbali za Tarafa ya Matombo , wilayani Morogoro, wakimlaki mgombea mteule wa chama hicho katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ,( aliyeshika bahasha ) alipowasili Augosti 18,2015  eneo la Mtamba ,  Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo kwa ajili ya kupata wadhamini kwenye  fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

 Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka  Kata mbalimbali za Tarafa ya Matombo , wilayani Morogoro, wakimlaki mgombea mteule wa chama hicho katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ,( aliyeshika bahasha ) alipowasili Augosti 18,2015  eneo la Mtamba ,  Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo kwa ajili ya kupata wadhamini kwenye  fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 Mgombea mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena ( kushoto) ,akimwelekeza mwanachama wa chama hicho, Mariselina Joseph , mkazi wa Kata ya Kisemu, tarafa ya Matombo, wilaya ya Morogoro namna ya kujaza fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya udhanini wake 
 Katika hatua nyingine, mgombea mteule wa chama hicho  nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini, Mbena  leo ( Augosti 19) amerudisha fomu hizo katika Ofisi ya Msimamzi wa Jimbo baada ya kukamilisha kwa kupata wadhamini wapatao 31 kutoka Kata za Tarafa ya Matombo, Mvuha na Bwakila. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Kwa Hisani ya Michuzi Media Group

0 comments:

Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa