Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati)
na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa
jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima
ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera
leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro.
PICHA NA IKULU.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment