Home » » NYUMBANI PARK NIGHT CLUB MOROGORO WACHANGAMKIA WINDHOEK KWA KWENDA MBELE

NYUMBANI PARK NIGHT CLUB MOROGORO WACHANGAMKIA WINDHOEK KWA KWENDA MBELE


DJ Emmanuel akipagawisha wapenzi wa muziki. 
 Ofisa Mauzo wa Windhoek Kanda ya Kati, Emmanuel Mbaule (kulia), akiwa na mdau wa Windhoek katika club hiyo.
 Warembo hawa nao walikuwepo kupata Windhoek na burudani ya mziki hakika ilikuwa kama usiku wa Windhoek wacha tu wajimwaemwae.
 Hapa wakifurahi baada ya kupata Windhoek 'Chezea Windhoek wewe onja uone' kazi kweli kweli.
Tu tost kidogo jamani tuimarishe afya zetu kwa kunywa 
windhoek. Jamani ni tamu hizo we acha tu.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa