Michezo ikiwa inaendelea
Baadhi ya watazamaji wakiwa wanatazama michezo hiyoMsemaji wa Michezo wa PSPF Bwana Gwamaka Ngomale akihojiwa na waandishi wa Habari juu ya mashindano ya SHIMWI na wao walivyo shiriki hasa katika udhamini wao
Msemaji wa Michezo wa PSPF Bwana Gwamaka Ngomale akiendelea kugawa vipeperushi vya PSPF
Watu wakiendelea Kujiunga na PSPF
Watu wakiendelea kujiunga na Mfuko wa Kuchangia kwa Hiari wa PSS kutoka PSPF
Wadau mbalimbali
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment