Home » » MATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO

MATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akiwa ndani ya boti kwenye mto Kilombero , mei 5, mwaka huu ,tayari kuanza safari ya kurejea eneo sehemu ya kituo cha kupandia abiria umbali wa kilometa zipatazo 1.5.
eneo la ujenzi wa tuta la barabara ya kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero ambayo imebomolewa na maji ya mafuriko ya mvua na kusababisha magari kushindwa kupita eneo hilo ambalo lina urefu wa mita 65 na kipande kikubwa kubwa ni mita 30 kama walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.
Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa