Home » » OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA NCHINI

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA NCHINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani Morogoro. 


 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera akiwahutubia Wasimamizi na Wadadisi (hawapo pichani) muda mchache kabla ya kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani Morogoro. 


 Baadhi ya Wasimamizi na Wadadisi wa Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini wakimsikiliza kwa makini Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi hilo jana Mkoani Morogoro.


Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Serikali pamoja na Wasimamizi wa Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini mara baada ya kufunga mafunzo ya zoezi hilo jana Mkoani Morogoro.
 (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO)
Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa