Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
ELIZABETH SIMON mkazi wa Kilosa Morogoro namba
yake ya ushiriki ni MS 15 ni mkulima wa mahindi na mpunga ekari 2 na mfugaji wa
ng’ombe, mbuzi na kondoo.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu
anajishughulisha na kilimo. "Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 20 na ninapata lita 5,000 za maziwa"
MAISHA PLUS / MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment