Home » » GEOFREY ZAWADI ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI JULIUS MANYAMA

GEOFREY ZAWADI ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI JULIUS MANYAMA

Naitwa Geogrey Zawadi Julius Manyama, nimezaliwa mwaka 1992, Vidunda, nimemaliza shule ya msingi vidunda mwaka 2009 na nimejiunga na elimu ya sekondari mwaka 2009 kidodi sekondari na kumaliza mwaka 2013.

Mama yangu anaitwa Batilda Simon Punguti, ninamtafuta baba yangu Julius Manyama ni mwanajeshi alikuwa akifanyakazi Tanesco Morogoro na walihamia Dar es salaam mwaka 1992

Mwenye taarifa zake awasiliane name kwa simu 0764855594

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa