Home » » NEWS : TUKIO KATIKA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI.

NEWS : TUKIO KATIKA PICHA AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE MOROGORO LEO ASUBUHI.

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund

 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
 Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa