Home » » PICHA ZA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI MVOMERO : ZAIADI YA WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI

PICHA ZA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI MVOMERO : ZAIADI YA WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI



Huyu ni mmoja wa kijana akiingizwa katika wodi ya wanaume ya hospitali hiyo baada ya kujeruhiwa kwa risasi.
Kundi la vijana wenye mishale na upindi wakiwa tayari kwa kujibu mashambulizi dhidi ya wafugaji, hapa ni kijiji cha Mkindo.
 

 
Nesi wa Hospitali teule ya wilaya ya Mvomero Getruda Chambo kulia akishirikiana na mwenzake kumhudumia mmoja kati ya 39 aliyepigwa risasi baada ya kutokea vurugu za wakulima a wafugaji katika kata ya Hembeti wilayai humo na kusababisha vifo vya zaidi ya mtu mmoja kufariki dunia kwa kupigwa na risasi mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa