Taarifa
zilizotufikia Hivi Punde zinasema Mtu Mmoja afariki dunia na wengine
39 wareruhiwa kwa Risasi katika kijiji cha Lukindo Wilaya ya Mvomero
Mkoani Morogoro kwenye Mgogoro wa wakulima na Wafugaji Wanaogombea
Bonde la Mgongolwa.Muda huu.taarifa zaidi inakuja
Chanzo: Juma Mtanda Blog
0 comments:
Post a Comment