
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza
na wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Morogoro. Waziri Nchimbi
aliwasikiliza maoni yao pamoja na maswali ambayo yalilenga kuimarisha chama
chao mkoani humo. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli
ya Mount Uluguru mjini Morogoro.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (Watatu
kulia-waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa
Umoja wa Vijana Mkoa wa Morogoro. Waziri Nchimbi aliyasikiliza maoni pamoja na
maswali yao ambayo yalilenga kuimarisha chama chao mkoani humo. Kikao cha
kuimarisha chama chao kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Mount
Uluguru mjini Morogoro.
Picha zote na Felix Mwagara.
toka michuzi blog
Picha zote na Felix Mwagara.
toka michuzi blog
0 comments:
Post a Comment