Home » » WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MOROGORO WAKIWA KWENYE LORI LA MIZIGO LILILOSHEHENI CHOKAA

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MOROGORO WAKIWA KWENYE LORI LA MIZIGO LILILOSHEHENI CHOKAA

Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa toka kwenye lori la mizigo lililobeba shehena ya chokaa likitokea Tanga na kukamatwa Morogoro jana
Wahamiaji haramu wakiwa kituoni Morogoro baada ya kukamatwa wakisafirishwa na lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa kutoka mkoani Tanga.
Lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa toka mkoani Tanga likiwa kituo cha polisi Morogoro baada ya kukamatwa likiwa na wahamiaji haramu.
Mmoja ya wahamiaji haramu akiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro toka kwenye lori la mizigo lililosheni chokaa toka mkoni Tanga.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa