Home » » HATARI: AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI MKOANI MOROGORO.

HATARI: AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI MKOANI MOROGORO.

Mtu Ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti mara Amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza  kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu .
Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa