Home » » ULINZI SHIRIKISHI a.k.a POLISI JAMII NAMNA UNAVYOFANYA KAZI MOROGORO.

ULINZI SHIRIKISHI a.k.a POLISI JAMII NAMNA UNAVYOFANYA KAZI MOROGORO.


Mkazi wa Kijiji cha Kisiwani kata ya Kiroka, Omari Hassan akiwa chini ya ulinzi wa mwanakijiji mara baada ya kumtia nguvuni wakati akimpeleka kituo kidogo cha polisi cha Mkuyuni halmashauri ya wilaya ya Morogoro kwa kutuhumiwa kuf
anya uharifu na fujo katika kijiji hicho mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG
Mpiaga picha wa kituo cha ITV mkoani Morogoro Michael Msillo akiwajika kwa kuchukua tukio la kijana huyo. 
PICHA/MTANDA BLOG

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa