Home » » INATIA HURUMA SANA PICHA: MTOTO ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA HONOLINA MKAZI WA MGETA .. TAZAMA HAPA

INATIA HURUMA SANA PICHA: MTOTO ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA HONOLINA MKAZI WA MGETA .. TAZAMA HAPA


Mtoto Honolina Christian miaka 11 mkazi wa mgeta Mkoani Morogoro anaomba msaada kwa wasamaria wamsaidie kupata fedha za matibabu ya maradhi yake yanayomsumbua tangu alipozaliwa  mama mzazi wa mtoto huyo Grace John kutoka mgeta anasema mwanae anateseka kwa muda mrefu hivyo anaomba asaidiwe ili apate kutibiwa



0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa