Msaidizi
Meneja Uzalishaji kampuni ya Faembase LTD, Aziza Ahmed akifafanua jambo
kwa mteja kuhusu dawa ya Ecotix inayoua watdudu katika mwili wa wanyama
kama mbung'o, kube, mainzi n:k katika banda la Mifugo na Kilimo la
Farmbase LTD katika maonyesho ya wakulima ya Nanenane kanda ya mashariki
uwanja wa Mwl Julius Nyerere Morogoro. PICHA NA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Daktari wa Mifugo, Ahmed Nassour kushoto akifafanua jambo kwa wateja waliotembelea banda la Farmb
ase LTD kujua namna ya matumizi mbalimbali ya madawa ya kilimo na mifugo katika maonyesho hayo ya Nanenane.
Nyanya aina ya Anna zikiwa katika vipando vya banda la Farmbase LTD katika maonyesho hayo.
Haya ni matango aina ya Darina katika vipando hivyo.
Cabbege aina ya Blue Dynasty ikiwa imestawi vizuri
Bilinganya aina ya Eggy Plant Black
Sukuma wiki aina ya Collarogeorgia
Sehemu
ya ndani ya banda la Farmbase LTD likionekana limepangwa bidhaa aina
mbalimbali zikiwemo dawa za mifugo na kilimo katika maonyesho hayo
mkabala na banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ama banda la
Mtibwa Sugar.
JUMA MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment