Mbunge
huyo akiteta na wananchi wa jimbo la morogoro kusini katika kijiji cha
tawa wakati wa ufunguzi wa barabara ya kijiji hicho

Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Akiwa pamoja na
wananchi wa jimbo hilo wakati akihamasisha wananchi hao wakati wa
ufunguzi wa barabara ya kuunganisha kijiji cha mlalo na tawa jana katika
jimbo hilo

Mbunge huyo hapa akifanya kazi kwa juhudi kuwahamasisha wanakijiji wa mlalo jana
Mbunge wa Morogorokusini Mh Innocent Kalogeris Akiwa na diwani wa kata ya tawa Morogoro kusini
NA JOSEPH LUKAZA BLOG
0 comments:
Post a Comment