Home » » SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA MOROGORO, M2 THE P AWAHI MAZISHI.

SAFARI YA MWISHO YA ALBERT MANGWEA MOROGORO, M2 THE P AWAHI MAZISHI.

Hii ndio nyumba ya Milele ya kipenzi chetu Albert Mangwea, Mungu amsamehe makosa yake na  aiweke roho yake mahali pema Peponi Ameen
Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea....!!
Rafiki wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P' akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.



PICHA KWA HISANI YA MITANDAO MBALIMBALI
 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa