Hii ndio nyumba ya Milele ya kipenzi chetu Albert Mangwea, Mungu
amsamehe makosa yake na aiweke roho yake mahali pema Peponi Ameen
Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2
THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi
ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba
kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea....!!
Rafiki
wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P'
akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
PICHA KWA HISANI YA MITANDAO MBALIMBALI
1 comments:
R,I,P
Post a Comment