Home » » TANAPA yafanikisha ujenzi wa zahanati Mikumi

TANAPA yafanikisha ujenzi wa zahanati Mikumi

Jengo la zahanati katika kijiji cha Ihombwe wilayani Kilosa lililojengwa kwa msaada wa Hifadhi za taifa Tanzania(TANAPA).
Jiwe la msingi katika jengo hilo.
Kaimu mhifadhi mkuu wa mikumi bw Damian Saru akizungumza na wanahabari walipotembelea zahanati hiyo.
Muuguzi mkuu katika zahanati ya Ihombwe bi Eda Nundwe akizungumza na wanahabari (hawako picani).
Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Ihombwe bw Philemon Robert akizungumza na wanahabri (hawako pichani).Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii.
Kwa hisani ya Issa Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa