Home » » KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:CHAMA CHA AKIBA NA KUKOPA CHA JESHI LA MAGEREZA NCHINI (TPS-SACCOS) CHAPATA VIONGOZI WAPYA, MJINI MOROGORO.

KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:CHAMA CHA AKIBA NA KUKOPA CHA JESHI LA MAGEREZA NCHINI (TPS-SACCOS) CHAPATA VIONGOZI WAPYA, MJINI MOROGORO.


Kamishna wa Huduma za Urekebishaji
wa Jeshi la Magereza, Dionece Chamulesile akitoa hotuba ya ku
ufunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Pili wa TPS Saccos
uliofanyika mjini Morogoro.
Baadhi ya viongozi wapya waliochaguliwa
na wajumbe wa
mkutano mkuu wa Chama cha Akiba na Kukopa cha Jeshi
la Magereza (TPS Saccos) wakiwa mbele ya wajumbe hao (hawapo pichani).
Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Joel Bukuku akizungumza na
wajumbe hao. Uchaguzi huo umefanyika katika Hoteli ya Edema, mjini Morogoro.
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakifurahia kupata
viongozi wapya watakaokiongoza chama hicho.
Wajumbe wa Bodi ya TPS Saccos waliomaliza muda wao
wakiondoka meza kuu na kuupisha uongozi mpya. Kulia ni aliyekuwa Mwenyekiti
wa bodi hiyo, Dionece Chamulesile, wa katikati ni Dk Juma Malewa na
Stanford Ntirundura waliokuwa wajumbe wa bodi hiyo

PICHA ZOTE
NA 
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI


WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa