Home » » FUATA UTARATIBU HUU UTAKAPO KUMUONA MKUU WA MKOA WA MOROGORO

FUATA UTARATIBU HUU UTAKAPO KUMUONA MKUU WA MKOA WA MOROGORO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Mwananchi yeyote anaetaka kuonana na Mkuu wa Mkoa katika masuala ya Kiofisi anatakiwa awasiliane na Msaidizi wake (Katibu wa Mkuu wa Mkoa) kwa kupitia namba ya simu +255-232604227. Hapa utapata maelekezo zaidi na kupangiwa siku ya kuonana na Mkuu wa Mkoa. Inashauriwa kumuona Mkuu wa Mkoa baada ya kupitia ngazi zote husika ambazo ni:-

  • Ngazi ya kitongoji
  • Kijiji/Mtaa
  • Kata
  • Tarafa
  • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
 Chanzo Tovuti ya Mkoa wa Morogoro

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa