Home » » RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI MOROGORO AKIWA NJIANI KUREJEA DAR ES SALAAM

RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI MOROGORO AKIWA NJIANI KUREJEA DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la stendi ya mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro akitokea mkoani Dodoma leo Julai 27, 2017.
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wananchi wa eneo la stendi ya mabasi ya Msamvu  mkoani Morogoro akitokea Dodoma leo Julai 27, 2017.
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27, 2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Bi Halima Ali akimweleza juu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27, 2017.
Picha na IKULU

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa