Home » » BREAKING NEWS: SAD , TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELKOPTA.

BREAKING NEWS: SAD , TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELKOPTA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 






 #‎TANZIA‬ Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous.
Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo.Fuatilia taarifa zetu tutakujuza zaidi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

Chanzo:ITV

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa